Grand Slam
KimechaguliwaDuka la M-Pesa: Oda 10 za Kwanza Ndani ya Siku 60
Kila kitu kilicho kwenye Business Plus, pamoja na siku 30 za matangazo ya uzinduzi, picha za studio za bidhaa 20 zinazouzwa zaidi na kuwafuatilia wateja walioacha bidhaa kwenye kikapu.
Uliza bei
- Bidhaa
- Kila kitu cha Business Plus
- Malipo ya M-Pesa
- Yamejumuishwa
- Mafunzo kwa wafanyakazi
- Yamejumuishwa
- Hosting na domain
- Kila kitu cha Business Plus
- SEO
- Kila kitu cha Business Plus
- Oda na usafirishaji
- Kila kitu cha Business Plus
- Nyongeza za uzinduzi
- Siku 30 za matangazo ya uzinduzi (matangazo 3 ya picha); picha za studio za bidhaa 20 zinazouzwa zaidi; kuwafuatilia wateja walioacha bidhaa kwenye kikapu
- Muda wa kukamilisha
- Tuulize
- Malipo ya awali
- Tuulize
Dhamana
- Oda 10 zilizolipiwa mtandaoni ndani ya siku 60 tangu uzinduzi, au tunasimamia matangazo yako bure hadi ufikishe oda 10.
Unalipia bajeti ya matangazo ya angalau TZS 300,000 na unahakikisha stoku ipo.



